Apply To St. JAMES KILOLO
HomeAdmission
Who Can Apply
We invite applications from students who have completed primary education and are seeking an enriching secondary school experience. Candidates should be enthusiastic learners with a record of academic achievement and a desire to contribute positively to our school community.
APPLICATION FORM FOR FORM 1 STUDENTS
- Fomu ya Maombi: Anza kwa kupakua fomu ya maombi kwa kubofya DOWNLOAD APPLICATION FORM
- Kuwasilisha Fomu: Jaza fomu ya maombi na uiwasilishe pamoja na:
- Nakala ya cheti cha kuzaliwa cha mwanafunzi.
- Ripoti za masomo za hivi karibuni/nakala.
- Picha mbili za hivi karibuni za ukubwa wa pasipoti.
- Stakabadhi ya malipo ya ada ya fomu iliyolipiwa Benki.
- Mtihani wa Kuingia: Waombaji watatakiwa kufanya mtihani wa kuingia unaojaribu uwezo wao katika Kiingereza, Hisabati, na Maarifa ya Jumla.
APPLICATION FORM FOR FOR FORM 5&6 STUDENTS
Ada ya Shule
Malipo ya Ada ya Mwaka
- Ada ya shule kwa mwaka ni Tsh 1,750,000/=
- Mwanafunzi anaweza kulipa ada yote muhula wa kwanza au akalipa kwa utaratibu uliooneshwa kwenye jedwali hapa chini.
Mwezi | Kiasi cha Kulipa |
---|---|
Januari | Tsh 437,500/= |
Aprili | Tsh 437,500/= |
Julai | Tsh 437,500/= |
Septemba | Tsh 437,500/= |
Maelekezo ya Malipo
- Malipo yote ya ada/karo ya shule yafanyike bank kwa akaunti zifuatazo:
- MKOMBOZI BANK – A/C NO. 01111511756501
- CRDB Akaunti Na. 0150242287300
- NMB Akaunti Na. 62310001493
- EXIM benk Akaunti Na. 0437877770
Akaunti zote nne jina ni St. James Kilolo Secondary
- Hatupokei malipo taslim (cash) ya ada shuleni.