

Tumeongeza nafasi chache za kuhamia St James kwa Kidato cha I na III Mwaka wa masomo 2024.
Tunapokea:
1. wanafunzi kutoka Shule za Serikali.
2. Wanafunzi Kutoka shule “private “
Mlinde mwanao kwa kumleta Shule yenye huduma bora na ada nafuu.
Shule yetu inamilikiwa na Kanisa Katoliki Jimbo la Iringa lakini inapokea Wanafunzi kutoka Dini na Madhehebu Yote.
OMBA NAFASI SASA
Kwa maelezo zaidi Tafadhali wasiliana nasi kupitia:
0788 473 782
0625 927 716
0622 847 403
0758 378 301
0752 730 809