TUNAPOKEA MAOMBI YA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 & 6 – 2025! Shule ya St. James Kilolo inakaribisha maombi ya kujiunga na Kidato cha Tano na Sita kwa mwaka wa masomo 2025Jiunge na St. James Kilolo kwa elimu bora na maandalizi …
Tumeongeza nafasi chache za kuhamia St James kwa Kidato cha I na III Mwaka wa masomo 2024.Tunapokea:1. wanafunzi kutoka Shule za Serikali.2. Wanafunzi Kutoka shule “private “ Mlinde mwanao kwa kumleta Shule yenye huduma bora na ada nafuu.Shule yetu inamilikiwa …