Elimu Bora Kwa Maisha Bora

Karibu St. James Kilolo Secondary School

Mazingira bora ya elimu, nidhamu, maadili na malezi yanayomjenga mwanafunzi kitaaluma na kijamii.

Academic Excellence

Ufundishaji wa Karibu na Usimamizi Bora

Walimu wetu hufuatilia mwanafunzi darasani na nje ya darasa ili kujenga ufaulu, nidhamu na ujasiri.

Admissions Open

Tunapokea Maombi ya Kujiunga

Jiunge na shule yenye mazingira ya nidhamu, taaluma na maandalizi bora ya maisha ya baadaye.

Admissions

Admissions

Maombi ya kujiunga, fomu na mwongozo wa nafasi za wanafunzi.

Academics

Academics

Ufundishaji wa karibu, ufuatiliaji na mazingira ya taaluma.

School Life

School Life

Malezi, nidhamu, ushauri na maendeleo ya mwanafunzi.

Contact Office

Contact Office

Wasiliana na uongozi wa shule kwa taarifa rasmi.

Headmaster's Welcome Message

Karibu kwenye tovuti rasmi ya shule.

Karibu kwenye familia ya St. James Kilolo.

St. James Kilolo Secondary School inalenga kutoa elimu yenye matokeo, nidhamu na malezi yanayomsaidia mwanafunzi kukua kitaaluma, kitabia na kijamii.

Tunashirikiana na wazazi kuhakikisha mwanafunzi anapata mazingira salama, usimamizi wa karibu, maadili na mwongozo wa maisha. Mr.DAUDI MWISAKA

CHUKUA FOMU

Learning & Student Development

Sehemu muhimu zinazoonyesha ubora wa mazingira ya kujifunzia St. James Kilolo.

Classroom Learning

Classroom Learning

Masomo yanafuatiliwa kwa ukaribu ili kuongeza uelewa na kuimarisha ufaulu.

Teacher Support

Teacher Support

Walimu hushirikiana na wanafunzi kwa ushauri, maelekezo na usimamizi wa kila siku.

Examinations

Examination Focus

Mazingira ya mitihani na mazoezi huimarisha maandalizi ya kitaaluma kwa wanafunzi.

Latest News